Tuesday, February 16, 2010

kwanini ng'ombe huita m*oooo...Kibwagizo

ushawahi kujiuliza kwa nini wanyama hulia waliavyo kila siku asubuhi na hasa ngombe, buzi, bata na hata jogooo???

hiki nikibwagizo kwani niko safarini.

basi ilikuwa asubuhi moja ambako wanayama waliamua kushindana ili kutegua kitandawili cha nani ana maumbile ya kiuume makuubwa kuliko mwingine

basi alikuwa ni bata aliounyaasha wa kwake, akafatia mbuzi aliyechekwa kwa kutoa kidude kifupi vile!
Ng'ombe kwa kujiamini, akaonekana mshindi katika mashindano yale maana jitu refu kiasi.

kabla ng'ombe dume ajakabidhiwa zawadi yake ya ushindi, akatokea punda ambaye hakuwa katika mashindano yale, akajipitisha kwa mbali huku dude lake likiburuzwa ardhini!

mashindano yakavunjia, vikawa ni vishangao vilivyosababisha milio mpaka leo

wa kwaza alikuwa bata aliyelia mpaka sauti ikakaukia, alilia haaaaaaaaaaahahahahhhhhhhhhhhahahhaha,
mbuzi naye alilia mamamama, mamamama, mamamam, mamamam

jogoo aliposikia kelele naye akauliza,
"kuuna nininiiiiii hukoooooooooooooooooooooooooooooo"

ng'ombe akajibu, m**oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

ndio maana mpaka leo hulia hivyo

sorry for this, haina maadili

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kamala, Nimecheka leo we acha tu duh! kazi kwelikweliiii, Ila kweli mbuzi halii meeeeeee, meeeeeeee, meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!

Anya said...

Hi nice to meet your blog

The translater works perfect
I can read it about the animals

Great post :-)

Greetings from Anya
from The Netherlands (@^.^@)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@Anya, welcum, thanx to translator!

@Yasinta, kwani we unaliagaje?? ukilizwa