Thursday, February 25, 2010

mada juu ya mwanamke

kutokana na maombi na maoni mengi ya wafuatiliaji wa kijewe hiki, mada ya mwanamke haisitishwi tena na hivyo, tunakaribisha mada kutoka kwa wenye nazo juu ya mwanamke ili zitundikwe na kujadiliwa hapa kijiweni kwa uwazi zaidi juu ya viumbe hawa adhimu


Kamala L

M/kiti

7 comments:

Anya said...

My translater translate things about paper and woman ????

Have a wonderful day )(@^.^@)

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

sawa mwenyekigoda

mumyhery said...

mhu haya sasa!!!

chib said...

Kamala translate please.
Very interesting article.
inabidi ubuni translator ya kwako na kuitundika kwenye kibaraza ili watu waweze kujitafsiria wao wenyewe!
Hii ni moja ya changamoto ambayo nami huipata, kuna baadhi ya watu huniandikia email kwenye private box wakitaka kujua nilichoandika kwa kiswahili.
Kazi hapo mkuu, vinginevyo andika kwamba blog yako haitafsiriwi kwa namna yoyote.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@chib, nahitaji kutulia, inahitaji Muda, kwa sasa niko tight kichizi, labda siku za usoni nitajifunza hilo

spyder said...

maisha ni kujadili na kuelimishana. jibu la swali moja ni usuuzo wa roho na mwanzo wa ugonjwa mwingine!
Hiv kwa nini mtu mpenz wake afanye mapenz na mtu mwingine na bila kupata maradhi au kupungukiwa na lolote ikuume kuliko kupata hasara yoyote dunian?! je, kati ya mwanamke na mwanamme nani humuuma zaid?!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@spyder, nadhani ni mwanamke