Saturday, February 13, 2010

mataranyiro aka chacha aka mrusha mawe

ushauri alioutoa matondo, na wengine na mimi juu ya lijamaa lilushalo mawe la kure musoma la kufungua blog sasa umetimia na umeshika kasi,

chacha kafungua liblogu, ila jina la blogu sasa, eti ni kijijini kwao! duh simo

tutegeme mengi kutoka kwa hiri risomi ra farsafa, niriisha lishauri rikanijibu eti harina cha kutundika likianzisha brog, sasa limekipata

tutaendelea na mada ya wanaweke na uwongo wao

3 comments:

Fadhy Mtanga said...

tunarikaribisha sana

Masangu Matondo Nzuzullima said...

angaria sana ritakutema ukizidisha. Shauri yako. Hata mimi nimesharikaribisha kule kijiweni kwangu. Rimenifurahisha sana!!!

mumyhery said...

Karibu sana mkuu!!!