Wednesday, February 3, 2010

Ng'wnambiti, a.k.a mtoto wa fisi wa MSM

hapa nikiwa nimekabeba kajukuu ka fisi au Ng'wanambiti kule kwa warusha mawe stadi
huyu aliwahi kutundikwa kijiweni akiulizwa ninani na woote walijikanyaga, huyu ndiye mtoto wa fisi au kardinali ng'wanambiti akiwa amekabeba kajukuu kamojawapo kafisi angali mandhali nyuma yaka ilivyo swafi, kijani, miamba nk, ndo maana nikarudi mikoani


18 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

duh!

ukizingatia kuwa sijawahi hata kuonekana kwenye runinga hili no bonge la sooo :-(

Yasinta Ngonyani said...

Aisee kumbe huyu ndiye Chacha Wambura Asante sana kwa kutufahamisha maana lilikuwa linaonekana jina tu kwenye maoni. Kamala una hakika hako ni kajukuu kweli sio katoto kake /kabint. ila mie nimekapenda zaidi kabinti hako...lol

SIMON KITURURU said...

Duh!

Itabidi nifanye haraka kumpa mimba mtu katika kujaribu kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwa kujaribu kumtafutia Mjukuu wa Kadinali Ng'wanambiti mchumba na hapo hapo KWA KUFANYA HILO kuunga undugu na Kadinali Ng'wanambiti.:-)

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@Yasinta & Mt. Simon: hako ni kajukuu na siyo katoto ka fisi. Matondo , Da Mija & Co watawaeleza pengine maana ya Ng'wanambiti

nyahbingi worrior. said...

Kaka nimepita kukusalimu.Amani iwe nanyi.

Huyu ndio Chacha?Mchangiaji mzuri sana katika mada tofauti tofauti...mtazamo wangu kwako,mshauri ajiunge katika maswala haya ya blogu endelevu.

Anonymous said...

mna hakika si nduguye na Bennet? Ama ni Bennet mwenyewe?

Mbona hako katoto kanafanana na kale ka Bennet?

Bennet

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Ng'wanambiti - kwa ile kugha nzuri ya Kimataifa ni mtoto wa fisi. Mpaka leo sijajua jina hili alilipataje. Kule karibu na nyumbani Bariadi kuna kijiji kinaitwa Mbiti - fisi- na inasemekana kwamba kulikuwa na fisi wengi sana katika eneo lile. Zingatia pia kwamba fisi - kama vile bundi - bado wanaogopwa sana kule Usukumani. Bado tunaamini kwamba fisi hutumiwa na wachawi katika safari zao na hata kutumwa kwenda kubeba watu waliochukuliwa msukule.

Huyu katika picha siyo Ng'wanambiti. Mbona mu wasahaulifu namna hii? Ng'wanambiti ndiye alikuwa "best man" siku Kamala alipoamua kubeba kimoja na NAAMINI kwamba Ng'wanambiti anaonekana tena vizuri sana hapa: http://1.bp.blogspot.com/_zFbv082X0BA/S0GNgYfs98I/AAAAAAAAA1o/EN1MqOK9j5Q/s1600-h/IMG_2855.JPG

Mija Shija Sayi said...

Duh kumbe Ng'wanambiti ni bomba hivi? Swali je ni bomba hadi ndaniii?

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@Da Mija: NDANI WAPI?

@Masangu: jina hilo lilipatikana wakati nazurura usukumani katika yale magoma ya kujigamba sana ya wagika na wagalu na 'mbina ya wigashe' :-)

Hata huko Nyambiti nimepitapita achilia mbali ngulyati na Nkololo :-)

Kama unavoona napenda bush hivo huko nnakotembelea huwa najiona niko nyumbani

Mija Shija Sayi said...

Basi nimeacha Ng'wanambiti, lakini sio siri mjukuu wetu ana afya si mchezo, ana umri gani?

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Da Mija: kanaelekea miaka 2. Lakini ukikaona utadhani kana miaka 3.

Natarajia kukapeleka kijijini hivi karibuni ili KAKEKETWE kwa ajili ya kumsubiria KIJANA wa Mt Simon :-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Masangu...huyo ndio Ng'wanambiti. Siku ya arusi yang hakuwepo.

Chacha bado mila ya kukeketa iko huko kwenu?

Yasinta Ngonyani said...

"Natarajia kukapeleka kijijini hivi karibuni ili KAKEKETWE kwa ajili ya kumsubiria KIJANA wa Mt Simon :-(" We chaha nasema kama Kamala hiyo mla ya KUKEKETWA ipo kweli huko kweli. Pole sana kabinti (karafi kangu)

Mija Shija Sayi said...

Nanukuu...'Natarajia kukapeleka kijijini hivi karibuni ili KAKEKETWE'...

@Chacha kweli wewe ni Mwanaume wa shoka. Hapo nimekubali.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

dmija, wanaume wote ni washoka na wanavishoka vyao kila mmoja,sasa iweje unabagua Chacha pekee?

Mija Shija Sayi said...

Kamala Rais wetu mtarajiwa kuna swali moja huwa najiuliza sana juu yako.

Swali, hivi ni kweli uko serious katika siasa au huwa ni porojo tu za hapa na pale? Na kama uko sirias unajiona wapi miaka kumi ijayo?

Ni hayo tu mheshimiwa Kamala.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@Da Mija: Nanukuu "Duh kumbe Ng'wanambiti ni bomba hivi?" Mwisho

Sasa Da Mija 'Nalehaya golonja nzunayo uyo ale Uholanzi'....lol

Mang'ombe yapo usikonde :-)

Halafu kukeketwa ni sunna huku :-(

Mija Shija Sayi said...

@Chacha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!