Saturday, February 20, 2010

Safari zetu na kuchimba dawa kwa wanwake


Jamani jamani, hapa nilipo nanuka vumbibaada ya safar ndefu saaana kwa njia ya brabara. Barabara ya katininzuri lakini kuna kipande kati ya Singida na Manyoni ni kichafu kama kama nini sijui

Basi tulikuwa tukiongelea juu ya wanawake, kuna kitu kinaitwa kuchimba dawa kama mnavyoona hao wendawazimu wanafanya, yaani wanapoint na kuelekeza pointers zao porini eti dawa inachimbika

Soo ni kwa wamama, naomba isiingie picha hapa ili wanaharakati wasijenivaa bure mimi! Wanakimbia kujificha nyuma ya kichaka gani sijui ,sasa safari hii karudi mama mmoja mbio huku nguo ya ndani igusayo pale unapojifanya mnafiki wa kupatamka, a.k.aChupi ikiwa magotini utadhani kuna maandalizi Fulani kabla ya fumanizi


Mama wa watu sijui kaona mdudu gani kama sio Nyoka aundoto zake tu za jana usiku na kuja nduki, ulishawahi kuona mtu akikimbia wakati kafungwa kamba?? Basi ni kudondoka, ghafra kaona mnamkodolea, anarudi, akikumbuka kilicho mstua, anaonabora umshuhudia (akuonyeshe) ukichungulia kidogo, anarudi kwa kilichomtisha, wewe ilikuwa ngoma nzito dfarini

Ila soo mkachibue dawa, mvua yanyesha, ila safarini kuna Mamboz utake usitake.

7 comments:

Mija Shija Sayi said...

Nadhani sasa ni muda muafaka kwa wenyeye mabasi kuanza kununua yenye vyoo ndani, maana hi hukawii kujisaidia eneo lenye mizimu halafu pakawa hapatoshi.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Da Mija: usafi wa hivo vyoo va kwenye mabasi vipi?

Nakumbuka baadhi ya mabasi ya Scandnavian Express walikuwa navyo lakini vilifungwa wakati wote wa safari kwa kile walichosema 'abiria si wastaarabu'


pengine ngoja tuchimbe dawa porini mpaka hapo simba watakapotutafuna mpaka basi...lol

Yasinta Ngonyani said...

Da mija ni wazo zuri sana kwani fikiria usiku mnasafiri halafu inabidi kuchimba dawa. Kwa kweli ingekuwa ni vizuri sana.

Chacha; kuhusu usafi ni mazoea tu ila tukishazoea tutaweza tu. Usikate tamaa mapema.

Anya said...

Looks you all had FUN :-)
Enjoy .......
life is short !!!!
LOL

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

usiogope ,mizimu, ogopa uchafu unaokuwa ndani mwako

ni kweli Simba watasaidia sana!, wakisema tukachimbe dawa we nendo polini ukiwa wa mwisho!

Yasinta, usiku inachimbwa sumu!,

Anya life has never been short, it is long and very tall. imagine all these days u have been living, very long ehe??

SIMON KITURURU said...

Msafiri kafiri , kirahisi tu anaweza kuigeuza chupi aipendayo kuwa toilet pepa!:-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@simon, Duh, yawezekana ukawa sahihi