Monday, February 8, 2010

Swali kutka kwa mwanamke wa Tinga tinga!

jamani nimeulizwa swali kutoka kwa mwanamke wa tinga tinga (waliobakia ni wa shoka na kushuka), swali lenyewe kanitukuza kichizi, msaidieni kumjibu jamani!!!!!!!


"Kamala Rais wetu mtarajiwa kuna swali moja huwa najiuliza sana juu yako.

Swali, hivi ni kweli uko serious katika siasa au huwa ni porojo tu za hapa na pale? Na kama uko sirias unajiona wapi miaka kumi ijayo?

Ni hayo tu mheshimiwa Kamala." asema Damija

2 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

kwa kawaida mjibu swali huwa ni aloulizwa. labda umteue mtu atakayejibu hili swali kwa niaba yako "Mh. sipiko, kwa niaba ya mh Kamala naomba kujibu swali la Da mija kama ifuatavyo...." ...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chacha, jibu basi