Tuesday, March 30, 2010

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jamani adhabu nyingine kazi kwelikweli. Sijui hapo watakuwa hivyo kwa muda gani? sasa sijui afadhali ya hiyo kuliko viboko? Duh!

mumyhery said...

Jamani!!!

John Mwaipopo said...

au wanaandaliwa kuwa maaskari kama yule askari aliyechanika suruwali pale chini.

Anya said...

:)
:)
:)
Very funny photo :-)

(@^.^@)

Mzee wa Changamoto said...

Nakumbuka hii. Tena unafanya hivyo ili "kukaza" kivazi na kisha mwalimu anaendelea kukutundika bakora.
Na ole wako uachie masikio unayotakiwa kushika. Ama upindishe miguu. Utaokina "cha mtemakuni"

Candy1 said...

Mi nadhani hii sio nzuri kiafya...so bad I swear! bora hata upige magoti

Mija Shija Sayi said...

Safi sana.

SIMON KITURURU said...

Adhabu ya mkao huo nasikia huwa inatolewa pia na wababa kwa wake zao.:-(

Komandoo Kamala Pasaka Njema!

Tandasi said...

kitururu nimekuvulia kofia teh... teh...teh