Wednesday, April 7, 2010

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mdada umependeza kweli:-)

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Bila maelezo mbona "kizungumkuti?" Tunapaswa kushangalia uzuri wake ama?
Ni shemeji (wa pili?). Ni mwanaharakati? Ni mlimbwende fulani hivi? Ni nani???

Tandasi said...

picha isiyo na maelezo ni sawa na tangazo babarani lisilo na bidhaa linayoitangaza!

Mija Shija Sayi said...

Katakuwa kadogo kake wifi yetu.

Yasinta Ngonyani said...

Eti sijui kwa nini sikuwaza hili- Da Mija Ahsante ni kweli katakuwa kafiwi ketu kadogo au Kasheji kake Kamala

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mie nimeshangaa tu hiyo rozari....lol