Friday, April 23, 2010

haya sasa


6 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Aliye "kidume" aingie anga zako sio?
Naona sasa. Full self kujihami na naona matoke yamekubali kwelikweli.
Looking GREAT my brother.
Wooonderful
Happy Weekend

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

tutakupiga marufuku kuja Musoma kwa kuwa umeanza kujifunza tabia mbaya...lol

Yasinta Ngonyani said...

Uwiiiiii!Hata kuja huko naogopa sasa. Vipi kujihamu au kututisha . Halafu Kamala umependeza hapo...LOL

Mija Shija Sayi said...

Inaelekea njemba zimeshaanza kuizungukia nyumba yako, Linda mali zako mwanakwetu.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Mimi Wahaya siwaogopi. Angekuwa ni yule Mzee wa Mataranyirato, tayari ningekuwa nimeshatoka mkuku.

Ni vizuri wakati mwingine kuyafanyia mzaha maisha. Safi sana!

Anya said...

Hi Kamala
BEAUTIFUL photo from you :))))
:)
Have a nice weekend

greetings
Anya :)