Friday, April 2, 2010

kuhusu kijana wetu ma ijumaa kuu

jamani leo wakatoliki wamekuwa ma-vegterian. zamani ilikuwa ni kila ijumaa, ikabakia kuwa kila wakati wa kwaresma, baadaye ikawa ijumaa kuu, sasa hawajali wala nini. nadhani mmeijoy kula chakula b ora, a.k.a vegeterian diet

nakumbushiaga bajameni, mwezi juni waja na julai shule zafungnuliwa. ile tamaa ya kumpeleka kijana nestory boading julai bado ipo kama kawa na nazisaka noti. mpaka sasa ni mtanzania mwema mmoja aliyekwisha wasilisha mchango wake, wengine nakumbushia ahadi na wengine mjitoe ili tuone kama kijana Nestory ataenda boarding

harafu naona kuna haja ya kuwa nakajikamati ka kusiaidia vijana wetu wanaosoma shule za kata angalau kwa kuwanunulia vitabu na vifaa vingine vya shule au mnasemaje wadau?? wanabidii na wanahitaji kusaidiwa na hii ni kwa nchi nzima ila tunaweza anza na sehemu
karibuni tusiwe wapiga porojo bali watendaji

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanye kwa kutukumbusha !!Pasaka njema Kamala

chib said...

Nilikuwa nadhani Kamala ni mpagani!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

!!!@yasita, Pasaka!!!!

@Chib, harafu ukagundua ni mnini???

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

halafu akagundua kumbe hana dini....lol!

ahadi ni deni na dawa ya deni ni kulipa...lol