Friday, April 16, 2010

mambo ya kupiga kura


mwongozo kwa vijana uko mbioni, waja

7 comments:

chib said...

Natumaini nawe umejiandikisha!!

Yasinta Ngonyani said...

kwa hiyo bila hiyo huwezi kupiga kura? basi sitaweza kupiga kura.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

ambao hamjajiandikisha fanyeni halahala.

hivi hatuna sheria ya kutuwezesha sie tusokuwa njini kupiga kura?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@yasinta ndio

@Chacha sijuim

@chib mimi bado ila naweza kugombea jimbo majawapo

Mzee wa Changamoto said...

Duh!!
Huyu Lenah ni ndugu yangu. Nimefurahi kumuona.
Great

Mzee wa Changamoto said...

Kaka. Huyu Lenah umempata wapi? Mpe contact zangu ama nipe zake niwasiliane naye

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

sina contact zake, picha hii niliikuta internet cafee, hivi kuna mzee anairwa bandio alikuwa headmaster pale iluya ndo dingi yako???