Monday, May 17, 2010

safari yameli ziwa victoria


ukiwa ndani ya meli katika ziwa vitoria unasafiri namizigo watu lukuki, third class meli hupakia watu wengi kuliko nafasi zilizopo wakati ni kukalia mbao tu.

ukikosa nafasi ya kulala usihofu, chukua tiketi ya kukaa ukiwa ndani ya meli unatafuta jamaa na kumpoza yaani mfanya kazi wa melini na kumpatia vipesa kidogo then unapewa kitanda kilichotandikwa, buureee

yaani ni raha, manasafiri na ndizi, magari, samaki na vitu kibao

napenda sana usafiri wa meli,

usiku huu niko ndani ya meli iitwayo MV VIctoria, ni raha

No comments: