Tuesday, May 18, 2010

salaamu

hivi kwa nini watu husalimiana?? nani mwenye jukumu la kuamza kumsalimia mwingine??

na je ninani aliyetunga salaamu??

labda tunasalimiana ili kutambua uwepo wa wale tuwasalimiao. ila kwa nini kuna mwaneno yaliyochaguliwa kuwa salaamu??

usiposalimiwa unajisikiaje?

Shikamooo, marahaba nk, nk

3 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Udosini hawasalimiani.Ukiwa na shida unaanza kuuliza shida yako mengine baadae.

Yasinta Ngonyani said...

habari yako kamala:-)

chib said...

Salamu zinategemea na wakati. Ukikaribia uchaguzi wa kisiasa, wagombea ndio wanaanza kusalimia, ukienda kwenye mhadhara wowote lakini sio wa kufundisha wanafunzi wadogo kiumri, anaanza mhutubu, nyumbani ni yule anayekuwa na mood nzuri ndio ana anza, wazazi na watoto, wale wazazi wa kikoloni anategea salamu, wa kileo wanaweza kuanza, maana salamu si lazima iwe shikamoo ....

Kamala ongeza ukubwa wa sehemu ya maoni niendelee kuchangia ha ha haaa