Friday, May 14, 2010

security - ulinzi

binadamu daima ana hofu na visivyokuwepo, anaogopa kila kitu nahata binadamu mwenzie. anaogapa na kutafuta kila suruhu ya usalama. wewe unadhani usalama uko wapi??

tunaogopa mpaka chakula tunachokula. utaambiwa kuwa Kikwete anapendwa nawatanzania kibao lakini muda woote yuko na watu wa kumlinda, sijui wanamlinda dhidi ya nini wakati wote wanampenda. harafu eti kuna usalama kwa viongozi kama raisi na waziri wakati wamezungukwa na watu wenye siraha kali

eti nani yuko salama kati yako uliozungukwa na watu wasio na siiraha na yule aliyezungukwa na watu wenye siraha tena za moto? viongozi wengi waliouwawa waliuliwa na walinzi wao k wa sirha walizozitumia kuwalinda. hawa ni kama J FKennedy wa USA, Kabila wa Kongo na wengine lukuki.

itanedelea.....