Saturday, May 8, 2010

viumbe vingi kuliko binadamu


japo binaadamu yuko bize kuzuia wengine wasizaliwe eti kwa kudhibiti wingi wa watu duiniani wakati binadamu huyohuyo akizidi kulihusudu tendo la ngono liongezalo wingi wa watu kumbe binadamu sio wengi kiviile

kuna watu bilioni 6.8 duniani karibia saba huku india na china zikiwa namitu mingi zaidi, lakini pamoja na hayo kuna kuku zaidi ya bilioni 15 ikiwa ni mara mbili ya binadamu.

ila kuna nyuki zaidi ya bilioni thelathini ikiwa ni karibia mara tatu ya binadamu
minyoo ya ardhini ndo usiseme, ni mamilioni na mamiliona yaani mara ishirini ya binadamu

swali ni je: mbona hatuangahiku kudhibiti ongezeko la kuku, nyuki au minyoo tunahaha kupunguza idadi ya binadamu??

7 comments:

Bennet said...

Tukimaliza kupunguza binadamu sasa itakuwa ni zamu ya viumbe wengine

Yasinta Ngonyani said...

mmmhhhh!

Candy1 said...

wakipungua kuku wengine tutashindwa kuwala then watakuwa "rare creatures" then hatutoruhusiwa kula (kuku jamani?), wakipungua nyuki basi asali hatuna kwahiyo watu wanasema "it is the circle of life" and "the universe is in balance"...ndio yale mambo ya majani, swala na simba/chui....

Mija Shija Sayi said...

muendelezo kutoka kwa Da Mdogo Candy...wakipungua minyoo rutuba ardhini hakuna tena,... Wakipungua watu labda AMANI itaongeeka...

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@bennet, kwa nini tusianze na wengine tuanze na binadamu?? lakini pia ni kwa nini tupunguze ambavyo sio jukumu letu kuviongeza?

@Candy acha hizo, kwani unadhani ulizaliwa ili uwale??

Upepo Mwanana said...

Aaaaaaaghhhhhhh
Hao manyuki.... yaani hata comment siwezi kuweka

chib said...

NIMEIPENDA SANA HOYO CHENI YA NYUKI