Wednesday, June 23, 2010

komba la dunia na tamaduni zetu

ni wakati wa tamaduni kugongana. ni majina mbali mbali ya wachezaji wa mataifa mengine dhidi ya utamaduni wa baadhi ya makabila ya kiafrika. kule japan kuna kisiwa kinaitwa naniliiimoto lakini sasa hapa kombe la dunia pia kuna majina

kuna majina ya wakorea kama vile Choo, lii nk


ila kubwa zaidi ni yale ya wanaigerila kama vile uche, kwa wahaya kuna mchezaji anaitwa EMANA, hii ni changamoto kuubwa kwa wahaya, sijui wazazi na watoto wao wakiangalia mechi hizi wanafanyaje, maana kwetu hii ni sehemu nyeti ambayo ukiitamka inaibua hisia za kunanilii sijui

ni tamaduni kugomngana, ila kwa taarifa nimeaacha kuangalia mechi hizi kwani zinaniinua kihisia na kunisababishia kuchelewa kulala mapema na kuniletea hisia mbali mbali.

No comments: