Monday, June 21, 2010

ni kombe ladunia

mdogo wangu (kama ni mdogo kweli ) koero analalamikia adimiko, kwa kweli ni kombe la dunia. ninapokea malalamiko kutoka kwa wife na familia pia, kuna majukumu nisiyotenda vyema kwa sababu ya kombe la dunia kule bondeni.

mimi huwa nalalala kabla ya saa nne usiku, lakini siku hizi hata nichoke vp bado naagalia mechi mpaka mwisho. ni kombe ladunia la mwaka huu gumu kweli kweli yaani kila timu imejizatiti vya kutosha kufanya mambo makali na mamgumu.

nashuhudia vituko. mimi huwa naagalizia mpira nyumbani. sasa kaja rafiki yangu wa makamu, mtu mzima kuangalia bori na ilikuwa ni mchezo wa ghana na wale wadhungu. jamaa anaangalia mpira kwa midadi mikali jamani. kidogo ainyanyue TV pale nyumbani duh

yaani nikimuacha ndani na shemeji yangu, wanaweza kugombana kwa furaha pale timu waipendayo inafunga gori, wewe!! nimeamua kukota meza pale sebuleni kwa usalama wao na nimeweza pia kuhamisha vitu vyote vya udogo kwani ni hatari kwavyo. tunaangalia mechi, mpira uko karibu kufungwa, haipigwi, nikasikia buuuuuu, ni meza imepigwa teke la nguvu, na mpigaji kaumia vibaya, anataka kufunga mwenyewe!!!! anaangalia kenye TV

watu wazima hawatulii, wanaonge amaneno ya ajabu, nikisikia iiiyoooo maweeeeeeeeee, tteeeeeela, TAYA, iiiiiwwwwwwwiiiiiiii, vhubhu, pwiiiiiiiiii, poooooooiiiiii mmmmhhhhmhhhhhhhh

jamaaa anaangalia mpira akiwa amepiga magoti nakadhalika.

jamani ni worudi kapu

No comments: