Tuesday, June 29, 2010

nukuu ya leo,

Nyerere yule rais wa kwanza wa tanzania aliwahi kusema kuwa eti nchi zinazoendelea zinaweza fananishwa na mwanamke mzuri aliyevaa vibaya kwani huwatega watu wenye mawazo ya kishetani (evil minded).

unadhani kuna ukweli hapa?