Tuesday, July 6, 2010

chekishia huumstari,

nilapo chakula, nakuona kwenye beseni
niogapo, nakuona kwenye bakuri
nitakupenda mpaka ziwa victoria likauke
nitakupenda mpaka dagaa wakonde!

chanzo; bwana mdogo mmoja alimwandikia demu wake enzi hizoo tukiwa darasa la pili

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ujumbe mzuri sanma lakini du! darasa la pili si mapema mno?

Yasinta Ngonyani said...

Ni ujumbe mzuri!

nyahbingi worrior. said...

HAHAHAHAHAHAHA

Sellasi I.