Tuesday, July 13, 2010

kitambi


jamaa kaongezeka kwa kilo nne sasa japo alikuwa haamin kama aweza kuwa hivi haswa ikizingatiwa kuwa chakula chake ni nachuro tupu

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera jamaa!!:-)

chib said...

Mbona hatukioni kitambi Mkuu

Anonymous said...

Shauri ya kupikiwa!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Yasinta unanipongeza tena??? ushindwe, unene sio dili.

@chib imeandikwa, mna macho lakini.....

@anony, yawezekana uko sahihi

chib said...

Macho tunayo mkuu, labda tuongezee miwani tu, si wajua umri tena ha ha haaa

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

toa macho, muweke miwani