Thursday, July 15, 2010

Kumbe bukoba kuna wadau wa kijiwe hiki.

Niwapo mjini Bukoba huwa napendelea kwenda kufanya mazoezi ya kucheza volleyball kule ufukweni mwa ziwa Lweru (victoria), jana nikakuatana na mtu aliyenifananisha kidogo, huku tukiendelea na mazoezi ghafra fikra zikamjia kuwa ninaendesha kijiwe hiki

Alinipongeza na kuniambia kuwa ni mfuasi wa kijiwe na kwamba kijiwe hiki kina wafuasi wengi. Ilikuwa ni kauli ya kunitia moyo kuendelea kuwepo hapa
Ila sasa kumbu kumbu zikaja, kumbe jamaa huyo tulisoma wote mahala miaka kumi iliyopitaa

Kijiwe juuuuuuuuuuuuuuuuuu

No comments: