Monday, July 26, 2010

mama na mwana, wakipozi kwaphotoz
jibaba na totole, wewe

16 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Amaaaa kweli.
Kaka pongezi saaana na asante kwa kutushirikisha hizi taswira.
Nawatakia mikesho mingi ya maana na malezi bora. Mie wangu nishaanza kumtuma peni na mengine.
Hahahahaaaaaaaa

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mhhh mikesho, nilishazokwa zamu

PASSION4FASHION.TZ said...

Nyegera,nyegera Waitu!! hongera sana kaka kwa kuwa baba sasa tunaweza kuongea lugha moja,karibu sana kwenye chama cha wazazi....lol raha iliyoje!

Ni wa kike au kiume? nahisi kama wa kike basi huyo atakuwa Kokushubi,Kokunyunya,Kokuunda,Koku nana nk,hahahahaaaaa niutani tu kaka.

PASSION4FASHION.TZ said...

Oh kumbe ni kidume?hongera sana mwanzo sikusoma huko chini sasa nimeelewa na nimefurahi sana kwajinsi ulivyo wajibika kama baba,hakika ni kipindi cha furaha si kwenu tu hata wana blog watembeleaji wako hii ni habari ya kufurahisha sana kaka.

Mpe hongera sana wifi naona sasa sio mgole tena au?nifahamishe basi mengine naanza kuyasahau.

EDWIN NDAKI said...

infwakti..am veri hapi rafiki yangu kamala na mkeo kujipatia baraka ya mtoto.

Mungu ampe maisha maisha marefu yenye baraka nanyi mzidi kumpendana na kumlea kwa malezi bora huyo malaika aliyekuja.

hongera sana mkuu!

Anonymous said...

Hongera sana kwa kupata baby. He is adorable.

Mija Shija Sayi said...

Hongereni sana. Kamala mbona kama unaogopa kumbeba?

Mungu azidi kuwa na familia yenu.

Blackmannen said...

Bwana Kamala, ni kweli kabisa kuwa huyo ni mtoto wako wa kwanza, umethibitisha jinsi ulivyombeba.

Ni katoto kazuri sana, hongereni sana Wazazi. Kuzaa sio kazi ila kulea ndiyo kazi yenyewe haswa. Turushie jina la mtoto pia, maana kuna majina mengi watu waliporopozi.

It's Great To Be Black=Blackmannen

chib said...

Hakuna kulala kaka, na matundiko yatapungua, maana busy.busy.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@passion, bado ni mgole mpaka kakangu awowe!
@damija, si unajua mambo ya protolali?? hawa wana kanuni zao, bado najifunza sio uoga

jina ni MWOMBEKI
@ chibposts ni kama kawa hapa hakuna kulala, ni kulea na kazi

waliobaki asanteni nyote

Masangu Matondo Nzuzullima said...

HONGERENI JAMANI....

Munale said...

Du! Ni Mwombeki Kamala Lutatinisibwa Luta...e.t.c

Blackmannen said...

Jina la mtoto ni zuri sana "MWOMBEKI". Mimi nitakuwa ninalikatisha kwa kifupi nitakuwa nikimwita "Mr MBEKI".

It's Great To Be Black=Blackmannen

SIMON KITURURU said...

Hongera Mkuu!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

ulivobeba utadhani unataka kumnyonyesha....lol!

naye Mwombeki kama vile anadengua ati..lol!

Hongera mkuu!

Tandasi said...

HONGERA SANA kaka (baba mtoto) blog ya http://ndotoyangu-harakati.blogspot.com inakutakia malezi bora yahuyo mtoto wetu.