Friday, July 9, 2010

nani huyu jamani?

kuna wasioamini kuwa jamaa huyu havaagi nguo za kuchommekea, wamepotoka tu.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Huyu kijana namfahamu lakini sitaki kusema:-)

Anonymous said...

uchomekee usichomekee - WHO CARES?????????

Anonymous said...

Uchomekee usichomekee - WHO CARES?????? Watu wengine bwana!

SIMON KITURURU said...

DUH!

nyahbingi worrior. said...

kwambali naino pete.

MDM said...

Mulangira - nimerudi na ninayo mengi ya kusimulia kutoka Usukumani.

Mimi pia sipendi kuchomekea. Ni vikoi tu na suti uchwara...

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Matondo umeniacha hoi kama si hai...lol!