Saturday, July 31, 2010

Ndani ya Bongo na mikakati ya kukutana

ni siku ya jumatano mida ya saa tatu asubuhi mwendeshaji wa kijiwe hiki a.k.a baba mwombeki atawasili jijini Dar kwa ziara ya juma moja

jumatano hiyo hiyo jioni au mchana atakuwa hotel ya movenpic a.k.a loyopam a.k.a sheraton ya zamani. hapo atakutana na mwenyeji wake then aatakutana na baadhi ya bloggers kama vile kaluse, strictly gospel, candy1wold, na wengineo,

kutakuwa na mikutano kadhaa lakini ziara ya mwisho itakuwa ni jumatatu ileee, ambapo utambuzi semina itatolewa kule Umoja wa vijana wa kikiristo tanzania (UVIKIUTA) eneo la mbagala. japo kkwa muda wa juma zima hilo atakuwa akipatikana maeneo ya mwenge, chuo kikuu na Changanyikeni na kwa hiyo bloggers tweweza kutana kwa nyakati tofauti, lakini pia wale wanaotamani utambuzi twaweza kutana kwa ushauri, mazungumzo, uzoefu na kufahamiana

jumamosi na jumapili ni siku maalumu za kukuatana na wanautambuzi pale kimara-rombo.

ni vizuri tukikutana, tunahitaji kupiga hatua zaidi.

0754 771 601
0715 771 601

4 comments:

nyahbingi worrior. said...

kaka,nadhani nami nitakuwepo katika hiyo orodha ya bloggers.

Mbele said...

Mimi niko hapa Dar pia, ila Jumatatu naenda Moshi na Lushoto. Namba ya simu ni 0754 888 647 au 0717 413 073. Nitaweza kujumuika nanyi.cura

Yasinta Ngonyani said...

nawatakieni kila jema nami ingawa nipo mbali lakini nitakuwa na nipo pamoja nanyi. Pamoja Daima.

Maisara Wastara said...

Je naruhusiwa kuungana nanyi? LOL