Thursday, August 5, 2010

Dar es salaam, niko bize kama nyuki anayetengeneza asali, ni foleni, ni majukumu. lakini nimekutana na watu wadhuri, wema, na wanaotoa changamoto za kutosha.

maisha ya hapa duh, yanazidi kuwa kama nilivyo yaacha, huuuuuu.

i miss my wife, my son. jijini dar

No comments: