Tuesday, August 24, 2010

emu-three said...
Kweli raha ya mchawi nikushinda, hata kama ushindi huo haukutokana na uchawi wake lakini atasema `mnaona' nyie nichezeeni tu'
Lakini hata mimi nikajiuliza kama mchawi anaweza kujigeuza paka, kama mchawi anawez kusafiri kwa ungo , kama mchawi anaweza kutembea mbele za watu tusimuuone, hatuoni hilo ni zinga la dili, kwanini tusiliboreshe tukaweza kuwaangamiza mafisadi wakati wapo kwenye kikao chao tunanafika tunasikiliza mwisho wa siku, mahakamani tuna ushahidi dhahiri.
Au vitani wote twajigeuza mipaka, nani uataua paka wasio na hatia, mmmmh, halafu mwaafiri na ungo, hatuhitaji ndege, fikiria Dar hii ingejaa ungo zinatembea hewani, Mumarekani angetuonea gele....jamani nyie wachawi mnapoteza nguvu zenu kuwangia watu bila faida, itafuteni faida ya kitaalamu...hili ni zinga la dili kwenu

4 comments:

emu-three said...

Mkuu unge-edit basi halafu ingekaa fresh. Nashukuru kuiweka hewani, kweli kama wachawi wana hizo mbinu kwanini wasizifanye hizo mbinu kitaalam, ua kuna masharti, na kama yapo tukiyavunja kitaalamu, ili tuwe katika dunia ya leo ya kitaamu si tutakuwa wataalamu zaidi, hiyo kama nyongeza tu

chib said...

Ha ha haaaa, tatizo wachawi nao wanashindana kuonyeshana umwamba. sasa hakuna aliye tayari kutoa teknolojia yake. Natoa mzaha tu Kamala

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mnayajua masharti ya kuruka kwa ungo nyie? Inasemekana huwa wanaruka wakiwa uchi au wakiwa na vitu vya ajabu ajabu kama mafuvu n.k. Sasa mnataka tuanze kwenda uchi huku tumebeba mafuvu???

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@matondo, kwani hujawahi kwenda uchi au huendagi uchi? ukiwa chumbani kwako na kwenda toilet au kuchukua nini sijui, huwa unavaa kwanza?