Monday, August 16, 2010

eti kwa nini huitwa Yesu Kristo na sio Emmanuel?

yule mkombozi wa ulimwengu kwa imani ya kikristo yaani Yesu Kristo anasemekana kutabiriwa kuwa atazaliwa na kuitwa Emmanuel yaani MunguYuPamojaNasi, lakini kwa miaka yote tunaishi kwa kubakia kusoma jina hilo kwenye bible na kutumia ambalo halikutabiriwa yaani Yesu Kristo

hivi kwa nini? tunambishia mtabiri aU

katika pita pita yangu nimegundua kuwa kumbe aliitwa Yesu Kristo kwa jina la kiebrania likiwa na maana kuwa ni annoited one a.k.a Mpakwa mafuta. swali hili lilinitatiza mno kumbe ndo jibu

kwa hiyo ni nick name, sasa inashangaza nick name inasambaa kuliko tabiriwad name

ila huo ndo ukweli wenyewe

No comments: