Friday, August 13, 2010

mkaribisheni mchaga mjanja


hapo pichani nikiwana mchagga mjanja a.k.a mjasiriamali katika hotel moja jijini Dar ambako tulikutana na kushea uzoefu katika ulimwengu wa ku-blogu, usiulizeuswahiba katiyamhaya na mchaga ulianzaje na unadumuje

ila mtembelee, kaja kwa kishindo, ana mambo makubwa, mtembelee mchaga mjanja a.k.a Johonson Minja a.k.a baba Jonathan kwakubofu hapa, namimi na mwambia aikambee mbe!!

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Karibu Mtani!

Yasinta Ngonyani said...

Karibu sana katika ulimwengu wa kublog kakangu!!

emu-three said...

Unaju mchanga mjanja nilyealiudedi..sasa huyu mmh, labda ni mjanja kwasababu kajenga kwao, wanasema mchagga mjana ni yule alijenga kwa kwa fedha za wizi eti kweli

chib said...

:-)