Wednesday, August 4, 2010

nimeshatua Dar

nimefika dar muda huu, huu, ila sasa baadhi ya wajumbe wa mkutano wetu hawatakuwepo kama vile chacha, candy/faith nk. nitakutana na bwana kaluse pale hotel ya movenpick saa kumi kamili jioni ya leo na hivyo kujadili juu ya uwezekano wa kukutana na wengi zaidi

kwa hiyo nitafika movenpick saa tisa na nusu tayari kukutana na kaluse na wengine na kwa wale watakaoweza tukutane muda huo tafadhali na kujadili mambo kadha wa kadha

asanteni

Kamala JL

4 comments:

Tandasi said...

natazamia kukutana na wewe hivi karibuni

Yasinta Ngonyani said...

Nawatakieni kila la kheri na nasubirti kupata mengi kutoka kwenu. Pamoja daima.

chib said...

Anzisheni SACCOS

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@chib, nini manufaa ya saccos?