Wednesday, August 11, 2010

swali kutoka kwa prof. JLMbele,katika mkutano wetu ma-bloggers wachache pale layoni sinza dar, prof Mbele (pichani) alimalizia mjadala ule kwa maswali haya hapa chini, labda tujaribu kuyajibu kwa pamojah!


Kwa nini sisi tunapenda kublogu? Je ni kwa kuwa tunapenda umaarufu, usupasta? Au tuna silika ya kujieleza? Kwa nini tusikae kimya yaani tusiwe na blogu?

3 comments:

Fadhy Mtanga said...

mie ninayo majibu...

ninapenda kublog kwa kuwa nina kitu ninachotaka kuwafahamisha watu.

kwa kuwa ninataka kuwasiliana na watu kwa njia ya maoni kutokana na kile kitu ninachowafahamisha.

mjasiriamali said...

Kamala, Hili swali nilikua nalo siku kadha kabla sijaanzisha blogu. Kiukweli umaarufu si kitu kizuri sana, ila kama alivyo na sababu Fadhy na mimi pia nina sababu. mimi ninapenda picha na kutembelea sehemu mpya. Nikajiuliza kwa nini nisishirikiane na wengine kuona ninachoona ninapokua nimeona? nothing else!ni kushea tu, sasa kutoka kushea ndo kuna kujifunza,kujiuliza,kujijibu,kujuana na watu(not kujulikana na watu) etc hayo ndiyo yaliyonipelekea kuglobika.

Johnson
Mchaga mjanja

Mbele said...

Leo nimeandika kidogo kuhusu suala hili hapa.