Friday, August 20, 2010

uchawi kwa mtizamo wa kidini na mila na tamaduni unatambuliwa

kumbuka kuna wazungu wanauchawi mweupe na uchawi mweusi kwa maana ya nguvu hasi na nguvu chanya pia na zina fanya kazi na uchawi upo kwa sababu unaogelewa katika jamii zetu. ukisema huamini kama upo unajidanganya fulani hivi

kwa mfano, mauaji ya wachawi yalifanyika vya kutisha huko ulaya kakrne ya 17 na inasemekana ndiyo mauaji ya wachawi yaliyo tia fora ulimwenguni kote

kathibitisha dhana ua uchawi mweupe na mweusi, waswahili husema, mchawi huloga na mganga huponya!

ila dini zote hukubali kuwa kuna uchawi. wakristo utasikia wakikemea mapepo, shetani nk pia kwenye biblia kua wanajimu waliokuwa wakiogozwa na mambo ya nyota almaarufu kama mama jusi!

uchawi (nguvu hasi) hupatikana kwa kununuliwa, au kurithi kwa lengo la kuutumia kuthuru

huo ndio uchawi kwa mazingira ya afrika

itaendelea..........

4 comments:

TUPENDANE said...

Witchcraft is dere, whether you like it or not....

Maisara Wastara said...

Kamala ni wapi kwenye Gulio la uchawi?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@maisara, unadhani kila kiuzwacho kina gulio au soko maalumu?? swali la unauzwa wapi labda litajibiwa baadaye

Anonymous said...

maisara wastara usiombe kuwa mchawi au kuzaliwa ktk familia ya kichawi nibora ukawamfungwa gerezani kulikokuwa mchawi maana unamloga mtu pasipo kupata chochote cha maana nafilimbi ikishapigwa ya kutoka kwenda kuloga ni lazima utoke hatakama unaumwa.ubayahakuna unachonufaika zaidi kula uchafu tuu!!!!!