Friday, August 27, 2010

watu wanapiga kampeni mpaka wanadondoka, au wanavunjika mikono!!!

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mpaka kuvunjika mkono kaazi kwelikweli kama ni hivi sitagombea nimeshtuka:-)

emu-three said...

Na kweli kama kakakuona anaweza kutabiri nani mshindi au yule kasa nk, kwanini tuhangaike na kuvunjika mikono au kuteguka mataya kwa kuongea majukwaani

SIMON KITURURU said...

Dhiara za kwenda kudanganya watu si mchezo unaweza kujikuta umedhoofika!:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mmh!

nuru shabani said...

Ni kipindi cha kusikia mengi ya kuvutia.