Friday, September 24, 2010

..................maisha ya duniani, tunaishi japo kuna swali juu ya maisha haya tunayoyaishi nini na kwa nini tunaishi, kwanini sisi ni sisi, namaisha yako wapi nk.............................

3 comments:

emu-three said...

Mhhhh, maisha, Maisha yapo anuia, maisha ya duniani na maisha ya baada ya kufa. Sasa maisha ya duniani, ndio haya tunayochanganya karata, siku ikifika unaelekea maisha mengine...mmmh, ngoja kwanza ...baadaye kidogo!

SIMON KITURURU said...

Maisha ni yote yatokeayo katika safari ya kuelekea kufa!

Na katika safari hiyo:
Maisha ni maumivu
Maisha ni furaha
Maisha ni kujisikia mjinga
Maisha ni kujisikia UNamiakili kwa kuwa unadhani kuna wajinga.
Maisha ni shule
Maisha ni kutishana

Na katika KUTAFUTA MAANA YA MAISHA ,- na ukifikiria sana maisha yana maana gani unaweza kuwa MWEHU bure!:-(

Yasinta Ngonyani said...

maisha:-)
Maisha ni kuvumuliana
Maisha ni kujitegemea
Maisha ni imani,
maisha ni kujifunza
Na maisha ni maisha na pia maisha ni watu,....