Wednesday, September 8, 2010

3 comments:

emu-three said...

Jamaa analinda ndege kwenye mpunga, kijani kina-ashiria neema!

SIMON KITURURU said...

Eneo linafaa kweli kuchimba dawa hili maana linaonyesha nila hali ya hewa mwanana na kichaka kizuri kwa mbali cha kujificha .:-(

Naongea kama mwanafunzi wa MAzengo High School ambako ilikuwa inabidi ufikirie mara mbili kwenda msalani kwa jinsi kunavyonuka Maana ili kuwa ukienda chooni ukirudi kila mtu anajua ulikuwa chooni kwa jinsi unukiavyo manukato ya kichoochoo.

Samahani kwa kuzidisha jazba ya mtazamo wa picha.:-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kitururu!!! ni noma