katika mjadala wa biblia najikuta nikiona tofauti za kishikaji juu ya madheheb kwa mfano wakatoliki na sanamu huku waluteri wakitumia sanam ambayo sio mtu wala nini. ukristo unabeba msalaba japo sio kweli kwamba tunahitaji msalaba bali kukombolewa na vyote ni sanamu tu hata altare a.k.a madhabahu!
msalaba wa yesu badala ya ujumbe wake, silaha iwe kumbu kumbu ya aliyeuwawa badala ya/////
tunajenga juba kuuubwa ni kanisa badala ya kuuishi utu, utakatifu, u-Mungu nk
Tuesday, September 28, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Makala yako ni nzuri katika kuitafakari.
Utaniwia radhi, nahisi kuna kiswahili kipya kimekuja, si vibaya ukinijuza maana ya juba, maana kuuliza si ujinga kaka
Juba ni Jumba@Em Chib....lol!
Inafikirisha hasa na jiandae kwa madongo kama siyo mapanga shaaaaaa....lol!
Mhh, hapa sitii neno, haya ni maswala ya ki-mani zaidi!
Natafakari kwanza!!
Post a Comment