Friday, September 3, 2010

maswali yamefikia matatu

kijiwe hiki sasa kina maswali matatu ambayo inabidi yajibiwe na mimi au wewe. la kwanza ni kuhusu Mungu
na la pili juu ya meditation jinsi ya kuifanya nk yote toka kwa damija

na la tau ni kuhusu kanuni za Maumbile kutoka kwa mdau wa Dar

kama unaweza jibu lolote, karibu utusaidie

3 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

NB: kwa mdau wa dar, anataka kujua kanuni za maumbile ninini hasa

Upepo Mwanana said...

Ngoja weekend ikipita, tutakuwa na jibu

Anonymous said...

Hi Kamala na wenzako.

Mimi naitwa Babu Mzee

Niambieni hivi ni kweli kuna uwezekano wa Binadamu kupaa angani na kusafiri mwendo mrefu bila kudhurika?

Je, Ni vitu gani Binadamu huyu huhitaji ili kupaa? kama ni kweli.

Je, Kila anayepaa angani ni mchawi?

Naomba yeyote anijibu.