Monday, September 6, 2010

swali kwetu


Hi Kamala na wenzako.

Mimi naitwa Babu Mzee
Niambieni hivi ni kweli kuna uwezekano wa Binadamu kupaa angani na kusafiri mwendo mrefu bila kudhurika? Je, Ni vitu gani Binadamu huyu huhitaji ili kupaa? kama ni kweli. Je, Kila anayepaa angani ni mchawi? Naomba yeyote anijibu.

3 comments:

chib said...

Kmala umeshindwa kumpa jibu huyo Babu Mzee Kikongwe!!!

Swali lake mimi sijalielewa vizuri, ana maana gani kupaa angani... kwa kutumia ndege, parachuti, roketi za anga za mbali, michezo ya kuchupa angani kutoka kwenye ndege au kutumia ungo???

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

labda kutumia ungo kwani tunaongelea vindumbwe ndumbwe na sio sayansi

SIMON KITURURU said...

Wachawi Mpo? Swali ndio hilo wakuu na tunaomba jibu.

Aahhhh jibuni basi ki- Anonymous WAHESHIMIWA kama noma kutoa kavukavu :-(