Tuesday, September 14, 2010

uchawi wa mapenzi, kuruka kwa ungo na mizmu sijui

japo mada ya uchawi ilishafungwa nimejikuta nikilazimika kuongelea na haya machache, kuna dawa za mapenzi waswahili huitalimbwata, lakini kuna dawa za kuwakomesha wanaume kwetu uhayani utasikia vitu kama Mgorore (mnyooshe) Tanaka (watapike ndguguzo) na shuntama.

kwa kweli inahitajika utafiti mkubwa juu ya mambo haya maana mimi nimieshuhudia baadhi ya vitu kama hivi ila hamna ushahidi

hata mambo yakuruka kwa Ungo, kutembelea watu usiku nimeona baadhi na labda hapa ni kiri kuwa naendelea na utafiti wangu falani na labda nitafanikiwa na kuyamwaga hapa live. imekaribia asubuhi kwa kwahiyo zamwizi na arobaini

kuna ishu kama kujikinga, nk, kule kwetu habari hizi zipo sana na hufikia hatua hata watu wa kafa kwa kuhisiwa wamechukuliwa na msukule fulani

mimi niliwahi shuhudia jamaa mmoja labda ni mganga anatatoa vijitu fulani eti ni uchawi kwa hiyo utuafiti unahitajika badala ya kukataa tu juu ya uwepo wa mambo haya

2 comments:

chib said...

Wachawi wapo kwa karne nyingi, hata kwenye biblia wanawazungumzia, Cha muhimu ni kukaza buti kwenye imani yako, na utaona hayo mambo ya uchawi ni kama ya kufikirika. Hata hivyo tunasubiri majibu ya utafiti wako

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

majibu ya utafiti wangu?????

sijui labda nitaufanya utafiti huo mkuu