Tuesday, October 19, 2010

dini zote ni sawa tatizo ubinadamu

katika kuhitimisha mada juu ya dini, tunagundua kuwa dini zoote na madhehebu yot huongela vitu vilevile na kwa lugha tofauti

dini zoote huongelea upendo, nuru, na umoja

ila huwa tofauuti katika matendo kwani dini hizi hubakia ngazi ya kikakili kuliko kwenda kwenye ngazi ya kiroho na kwa hivyo upendo hubakia kuwa maneno ya kunukuu na kubaguana badala ya upendo halisi

kuna kitu tusichokielewa kuhusu waanzilishi wa dini zet na viongozi wa dini zetu

dini hugeuka kuwa chanzo cha machafuko badala ya amani na wewe anagalia tu machafuko makubwa yote ya dunia hii kuna dini nyuma yake.

ila sasa watakao omba kuongozwa ili waijue njia ya ukweli ya kuelekea kwa nguvu kuu, Mungu u allaha wata fanya hivyo endapo watakuwa tayari kujifunza, kusikiliza na kuwezeshwa kwa neema tu badala ya kutegemea ubishi na ujuaji wa akilia zetu au wa viongoz wa dini

1 comment:

emu-three said...

Ni kweli lengo la dini ni moja, na mungu ni huyohuyo aliyeumba watu wote. Mitizamo yetu ndiyo inayotofautiana kutegemeana na utashi wetu!