Thursday, October 14, 2010

Dr. Slaa ndani ya BUKOBA

tuko na Dr. Slaa hapa mjini Bukoba live anamwaga Sera lukuki viwanja vya mashujaa ila ishu nikwamba kuna jamaa wa polisi wamevalia mavazi hayo duhu sijui wanamtisha nani au ndo usalama wenyewe

mimi nimevalia pensi na t-shirt mbna natisha kama jeshi la taliban naona padre na Sista wananiangalia kama mwisilamu aliyevamia kanisa wakati wa ibada, ni noma

2 comments:

Subi said...

Kamala, Asante kwa taarifa kutujuza kinachoendelea huko.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

karibu Subi