Friday, October 29, 2010

Kura kwa mtu makini
Jamani kwa tulioko Tanzania, kampeni tumesikia, wagombea tumewaona. Vijana tuangalie vyama vya nyakati zetu lakini pia kumpigia kura mtu makini na asiye na tamaa ya mali wala fedha

Huu ni wakati wa kufanya uamzi sahihi kwa gharama yoyote bila kuangalia sura, rangi labda na chama. Tunahitaji mtu makini mwenye hoja makini na anayeijua vyema nchi yetu na hali za watu wetu na kwa nini wako hivyo na mabadiliko tunayoyahitani

Piga kura kwa usahihi, mabadiliko ni lazima

1 comment:

Candy1 said...

Kweli kabisa, hapo umeongea kaka :-), uchaguzi mwema