Tuesday, November 2, 2010

duh nikiangalia matokeo kwenye vyombo vya habari natamani kujificha sura,

labda watanzania ndivyo tulivyo

elimu ya uraia bado inahitajika

ila kwa upande wa wabunge afadhali

sijui jamaa watatalaje huku kuna jamaa wa aina yangu bungeni

ngoja tuone, ila kuna kutukanana matusi ya nguoni live

usije sikia kum.$%&*)...... zako wewe bungeni

kuna watakaotamani wasingeshinda uongozi

vichwa vilivyoingia duh vitawapeleka puta

na tumalizie matokeo tuone

natamani akina mimi ishirini tuingie bungeni

tutauwa

2 comments:

emu-three said...

Bunge la sasa hivi, mambo ipo humo, manake ...mmmh, tusubiri tu mkuu!
Bunge lililopita watu waliangalia wasomi, madokta, maprofesa, manini sijui wakajaa bungeni, badala ya kutoa hoja wakawa wanabukua!
Haya bunge la sasa wakasema tunataka wanaojulikana, wanaojua kumwaga sera, wanamziki, wana nanihii...sasa sijui huko bungeni kutaanzishwa bendi au wachekeshaji au wale wakupeana siku mbili tu...
Sijui, labda bunge lijalo tutaangalia wasakata kandanda, au wabunifu, hata au wanablog!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ndio, hata wanablogu!