Saturday, November 13, 2010

Uswahilini kuna vituko, Kijana mmoja kisa kakosa udiwani akaanza tukana wamama wote anaokutana nao eti, "nyie wote kazi kuzalishwa tu, mamamaeee zenu!" Akatokea mama mmoja akamjibu, "wewe mtoto mdogo sana, naweza zaa kama ninyi wawili wima wima huku napiga push up, mkomamanga we!!!"
Jamaa alipotea palepale na hasira zake!

No comments: