Wednesday, December 8, 2010

je picha hii iwe profilini?


8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Labda ungefuga madevu mengi zaidi mngefanana na ingefaa kuwa profilini....LOL

Anonymous said...

Naona unaota kuwa yesu nini ndugu?

Mija Shija Sayi said...

Unaweza ukaiweka, ila hakikisha haendi kinyume na hadhi yake, si unajua mwenyewe Yesu alivyokuwa ngangari, hababaiki wala kutishika kwa lolote na bado hakutenda dhambi... unayaweza hayo?

SIMON KITURURU said...

Mkuu una kofia kali kweli!

Mzee wa Changamoto said...

Mmhhhh!!!!!!!!!!!!!
Picha imependeza. Sasa tueleze MAANA na NIA ya kupiga hiyo

Bless

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Yasinta ndeveu?? Unafikiri wewe na yesu mna tofauti kuubwa?

@ damija hizo sifa zake ndio maana halisi ya jina langu, ila kutotenda dhambi? sijui kwa mtizamo upi

@ kitururu, kofia hii

SIMON KITURURU said...

Kwani kofia ni nini?


nje kidogo ya topiki baada ya kuhisi mambo ya Kiyesuyesu:


Ikumbukwe tu mchezo wa kusulubiwa na kupigiliwa Kofia ya aina ya Swaga la Kamala,...
...walifanyiwa wengi ingawa ni maarufu kuoanisha Msalaba na vikorombwezo fulani na YESU hasa ukikumbuka ile ilikuwa tu staili ya kumpika mwizi ambayo Bongo naona bado kwa vibaka hatujaifikia katika swala zima la kusulubu VIBAKA na kuachi MAFISADI watanue.:-(

chib said...

Zamani zileeeee, wevi wa kuku huko kijijini kwetu ndio walikuwa wanavikwa miiba kichwani na kutembezwa kijijini.
Ulikuwa unawaza nini Kamala! Nina wasiwasi utaanzisha dini hivi karibuni na kujiita ya kuwa u mwana wa Mungu na umetumwa kuja kukomba sadaka za waumini :-)