Friday, December 31, 2010

mwisho wa mihemko ya kusheherekia tusicho kijua na mauaji

basi watu wanahangahika kusheherekea wasicho kijua, sasa ni mwisho wa mihemko hiyo na tunaendelea na maisha kama kawa japo mabadiliko ni lazima

ngwe nzito katika kusheherekea kwa binadamu wa kisasa, ni mauaji ili kula chakula kilichokufa au nyama! kila mwaka viumbe wenzetu wanakufa na hizi sikukuu za kidini ambazo zinaaminika kuwa ni za ki-Mungu anayetuo uhai au Umungu wake kwa wanyama wenzetu pia.

anyway ni mwisho wa kusheherekea tusichokijua, tusibilie sherehe zijazo ila kidume najitahidi kutokujihusisha lakini mazingira yananihusisha tu nitake nisitake!

sherehe zetu ni ulevi, ngona, kuuuuula hata visivyohitajika miilini mwetu nk! Hongereni na sasa turudi kazini

2 comments:

Anya said...

Happy New Year!!
We wish you a joyful life
full of healthy, happiness and pleasure :)

Hugs Love Anya

Kareltje =^.^=

Betsie =(^.^)=

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Vitu vingine hapa duniani haviepukiki!

Kila la heri kwako pia unapolazimishwa kusherehekea usichokijua!!!