Monday, December 6, 2010

too busy 2 b here!

niko kwenye visiwa vya ziwa victoria, ni mara yangu ya kwanza kabisa kuwa huku, sijawahi elea kwa mtumbwi ziwani isipokuwa kwa meli tu, najifunza mengi, umasikini wa wavuvi uwatajirishao wenye mitumbwi, life la aina yake, TZ ni tajiri watu wake masikini. naendelea kujifunza

ni furaha kuelea mtumbwini japo ni uchovu, mkiona kimya mjue mtumbwi umeamua vinginevyo japo mimi ni mtaalamu wa kuogelea! wewe
see u if I come back safely

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri na Mungu awe nawe ili urudi na uwe nasi!!

SIMON KITURURU said...

Usisimame tu kwenye Mtumbwi ukitaka kukojoa kwa kuwa nasikia huondio mwanzo wa wasio na uzoefu na mtumbwi hata kama washawahi kjamiiana mtumbwinni huwa wanadondoka majini.:-(

Anonymous said...

"too busy 2 b here!"

????????????????????????????

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Ukiona sato au sangara yuko "reachable" usikose kuzamia na kumdabua ili upate kitoweo huko unakoenda.

Kila la heri!

emu-three said...

Mhhh, angalia kuna chunusi huko...twakutakia safari njema mkuu!