Monday, January 31, 2011

7 comments:

Mija Shija Sayi said...

Usinambie haka kamjamaa kameshakua kiasi hiki!!..

Goodman Manyanya Phiri said...

Huyo mtoto anahali gani, Kamala? Mgonjwa au mjanja? Mbona ameshikwa namna hii?

Mcharia said...

Aaaah...ni namna tu.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ni mzima saana, kanakua kwa kasi, ni miezi saba na kanatambaa sasa

Anonymous said...

hiyo ni nyumba yako hongera

Yasinta Ngonyani said...

Kweli kamekua kwa haraka kweli. Safi sana....

katawa said...

kanakimbila wapi,kaambie huku life limeshikwa na mafisadi bora kachelewechelewe huenda katakuta mafisadi wote wameacha mwili