Saturday, January 29, 2011

duh najikuta nikieleza mtumbwi,, ni ufundi nanisanaa

hapa safari inaanza hivyo, ndo naelea zangu
niko majini kakibinuka haka!!

4 comments:

emu-three said...

Etiii?

Goodman Manyanya Phiri said...

Rafiki yangu kumbe wewe mvuvi kweli???

Hata ukijibu hilo swali, yapo mengi mengine utakayejukuta unashindwa kujibu, na sababu ya kushindwa kwako pata hapa

http://ednaohman.blogspot.com/2011/01/wasichana-wawasulubisha-wavula-kwenye.html


SWALI LANGU BASI (kutokana na picha yako hiyo nzuri) linaanza kwa misingi ifwatao:


Miaka 22 iliyopita yupo mwanamama aliyekuwa ananikosha kwa TAARAB yake huko Dar es-Salaam na wimbo wake mmoja, kama sikosei Kiswahili chake aliuliza:"Madereva Wamashuwa
Kwanini mnakaa nyuma?"

Mcharia said...

Hata kama, bado najiuliza...mbona majini hakuna trafiki light? au alama kama zile za barabarani?

Hivi kuna chuo cha kufundisha kuendesha mtumbwi?

Yaani, nina maswali mengi na bado naendelea kujiuliza!!! kuna bima kwa waendesha mitumbwi? ina katiwa wapi.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@ Goodman, mimi kamwe sio mvuvi na siwezi kuwa na haitatokea hasa ikizingatiwa kuwa mimi sili kabisa samaki na sitokaa niwale, ila ukiangalia vizuri kuna picha sijakaa nyuma, ila ni muhimu ili uweze kusukuma mtumbwi

@mchalia, kuhusu bima sijui chochote ila maisha ya wavuvi wa ziwa victoria ni magumu sana na story ndefu labda ntaiandika siku siku moja