Monday, January 10, 2011

"haki zote zimehifadhiwa"

huwa kuna vitu nahitaji maelezo ili labda nivielewe vizuri! mtu anaandika kitabu na kukuuzia then anakwambia haki zote zimehifadhiwa, usinukuu wala nini sijui, ila haandiki usinunue au usikisome


sasa kwenye movies na miziki ndo noma, mtu anaigiza movie nusu, na nusu nyingine anakuuzia the anakwambia haki ztoe zimehifandhiwa, kama zimehifandhiwa kwanini asikupe bure? ununue the aendelee kumili yeye?

sasa mchina ni noma, anatengeneza movie kibao kwenye DVD/CD moja na kukuuzia tena kwa bei nafuu zaidi! sijui inkuwaje ila hii ya kuhifadhi haki?????