Tuesday, January 4, 2011

kuomba, sara au maombi!

wengi hupenda kumwomba yule wamwitaye Mungu au hata kumwabudu, kumtukuza yeye na jina lake. wanampenda Mungu na U-Mungu waka. ila kwenye sara hujukuta wakiomba omba! they become beggers, we berg and dont pray.

tunatamani vitu vya Muda mfupi tu na vya kimwili na hivyo hizo ndizo sara zetu! hata waongeapo viongozi wa dini huonesha mafanikio ya sara kuwa ni kupata kitu fulani cha kidunia au kimwili!

je wajua sara/maombi sahihi ni yapi au nini tukiombe?

4 comments:

emu-three said...

Mkuu naomba nikurekebishe kidogo sio SARA NI SALA. Sala ni kumuomba mola wako ukiamini kuwa yeye ndiye mwenye uwezo wa hayo maombi yako.
Kwahiyo unasali kama tija, au utaratibu fulani, na ndani ya sala hiyo kuna maombi.
Dina zinatofautioana katika `kusimamisha sala. Wengine wana taratibu A-Z, na mwisho wa taratibu hizo huweka `maombi kwa mungu. Kwahiyo sio lazima sala ikawa ni maombi, lakini ndani ya sala unaweza ukaweka maombi yako.

SIMON KITURURU said...

Sidhani kama kuna maombi sahihi na yasiyo sahihi!

Na sidhani kama kuna apatiaye cha kuomba hata kama swala ni vidume wawili wenye nyege halafu mmoja akaomba aishiwe nyege na mwingine akaomba bonge la demu limsaidia mambo ya mpwito!:-(

Nachojaribu kusema ni kuwa:

Katika kujibbu swala hili ni rahisi mtu kuonyesha Intellectual Arrogance kwa kuamlia watu ni nini muhimu au sahihi na kipi si sahihi hasa kwa kuwa usahihi wa kitu ni jambo lisiloisha mdahalo hasa kwa kuwa hutegemea sana kwa akili za kibinadamu binadamu alichojua kabla ya kukabili usahihi wa jambo hata likiwa ni lile la ni nini hasa sahihi KUCHAMBIA wakati kuchambia karatasi na uchambiaji maji bado vinaweza kuonekana sio sahihi kwa hoja nyingi tu kutoka kwa aonae vyote ni staili tu za kushika mavi.:-(

Yasinta Ngonyani said...

hakuna sahihi wala kisicho sahihi na kumbuka kama tusemavyo hakuna kosa na wala lisilo kosa.....

SIMON KITURURU said...

Nimebadili mawazo!

Nahisi atakaye MATOKE sio sahihi kuomba UGALI kwa kujibalaguza kwa kuwa nimesikia mpaka wasenge kwa kujibalaguza huwa hawaombi tako kisa wanajikuta wamebanwa kwenye kona na sala maarufu zitolewazo na waliosoma ya SODOMA na GOMORA kwa hiyo kimaombi wanaomba wahisiyo labda so dhambi.

Kwani hudhani wakati unahamu ya KITIMOTO aka NYAMA YA NGURUWE huwezi kuhisi umebanwa kibindo KIDHAMBI ukiwa na KAMALA Papaa Muzee wa KIJIWE HIKI cha Nyegerage umjuaye kwa kufanya meditesheni na kula michicha ahisiyo ni AFYA ZAIDI?

Naendelea KUWAZA!